Machampion Terence Crawford (USA) na Julius Indongo (NAMIBIA) ulingoni usiku huu mshindi atajizolea mikanda 4 ya Super lightweight World Title.
Terence Allan Crawford bingwa wa
WBC World Super Lightweight Title na
WBO World Super Lightweight Title ambae ajapoteza wala kudroo mchezo wowote katika michezo yake yote 31 atapanda ulingoni usiku huu kupambana na Julius Indongo bingwa wa
IBF World Super Lightweight Title
na
WBA Super World Super Lightweight Title
bingwa mwenye rekodi ya kutokupoteza mchezo hata mmoja kati ya yote aliyocheze ambayo ni michezo 22...
Labels: By Xoxher Hero
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home