Tuesday, 22 August 2017

"Bermuda Triangle" Triangle iliyowashinda akili wanasayansi wote.


Bermuda Triangle, ambayo pia inajulikana kama Devil's Triangle, ni eneo la magharibi wa bahari ya Atlantiki ya kaskazini ambapo idadi kubwa ya ndege na vyombo vya baharini vinanadaiwa kutoweka katika hali isiyojulikana ambayo haiwezi kuelezewa kama makosa ya binadamu, uharamia , hitilafu ya vifaa, au  maafa ya kiasili. Tamaduni maalufu zinahusisha kutoweka huku na jambo lisilo la kawaida ambalo haliwezi kuelezewa kwa njia za kisayansi, kutanguliwa kwa sheria za fizikia, au shughuli za viumbe visivyo vya kawaida


Soma zaidi hapa:-

Kwa kiswahili
https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Bermuda_Triangle

For English
http://www.rebelcircus.com/blog/scientists-may-solved-mystery-bermuda-triangle/










Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home