Tuesday, 5 September 2017

Anthony Joshua kumkabiri "The Cobra" tar 28

Bingwa wa International Boxing Organization World Heavyweight Title,
WBA Super World Heavyweight Title &
IBF World Heavyweight Title ,Muingereza mwenye asili ya Nigeria Antony Joshua "AJ" atapanda ulingoni kumkabili bingwa kutoka Bulgaria , Kubrat Pulev  "The Cobra" katika pambano la uzito wa juu la raundi kumi na mbili litakalopigwa tarehe 28 October ,2017 katika uwanja wa Millennium Stadium, Cardiff, Wales, United Kingdom

Pambano litakuwa la kugombea ubingwa wa hii mikanda ambayo Joshua atakuwa anaitetea:-

>IBF World Heavyweight Title

>International Boxing Organization World Heavyweight Title

>WBA Super World Heavyweight Title

#joshuapulev

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home