McGregor alimpiga Mayweather Jr ngumi nyingi kuliko ngumi alizopigwa Mayweather na Pacquiao
Conor McGregor alimpiga bondia anae sifika kwa uwezo mkubwa kujilinda zaidi duniani Mayweather Jr jumla ya ngumi 117. Idadi hii ya ngumi ni ngumi 30 zaidi ya ngumi alizopigwa Mayweather Jr na Mphilipino Manny Pacquiao katika pambano lao na pia idadi hii ya ngumi ni ngumi 6 pungufu ya ngumi alizopigwa Mayweather Jr na Mmexico anae tarajiwa kupanda ulingoni mwezi ujao wa tisa kumkabiri "GGG" Saul Alvarez "Canelo" katika pambano la 2015.
Labels: By Xoxher Hero
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home