Wednesday, 23 August 2017

Pambano kubwa la Boxing la Mwaka kupigwa December 9

Pambano la Boxing la mwaka mambo yote yamekamilika tayari ni kati ya bingwa asiepigika kutoka kwa Cube,  Guillermo Rigondeaux (17-0-0) maarufu kwa jina la "El Chacal / The Jackal" mwenye recodi ya kutopoteza pambano lolote, amecheza  mapambano 17 na kashinda yote. Rigolusion ni miongoni mwa mabondia wachache wanao tumia stance ya southpaw. El Chacal anapambana na Bingwa wa Olympic mwaka 2012 kutoka Ukraine, Vasyl Lomachenko (9-1-0) maarufu kwa jina la "Hi-Tech" ambae kapoteza mechi moja tu kati ya mechi zake zote 10 alizocheza na kuonesha uwezo mkubwa ulingoni, pia Loma ni bondia anae tumia stance ya southpaw.
(southpaw* ni mabondia wanao pigana mguu wa kulia ukiwa mbele na wakushoto ukiwa nyuma)

Match summary

Promoter: Bob Arum

Matchmaker: Brad Goodman

Commission: New York State Athletic Commission

Tarehe: 9 December, 2017

Uzito: super featherweight

Ukumbi:  Madison Square Garden Theater, New York, New York, USA

Televisheni: USA ESPN

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home