Mende anayechora apata umaarufu mitandaoni.
Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia.
Mende huyo alipata umaarufu mitandaoni wakati picha za michoro yake zilisambaa katika mtandoa wa Twitter.
Akiwa na kalamu zenye rangi mende huyo aliweza kuchora michoro tofauti
Michoro hiyo imewavutia wengi mitandaoni na hata kusababisha kutangazwa kuuzwa kupitia Ebay.
Mende wa aina hii ni maarufu miongoni mwa watoto chini Japan.
Mende hawa ni kati wa wadudu wenye nguvu nyingi zaidi duniani.
Mdudu huyu na uwezo wa kupanda ukuta na pia anatajwa kusaidia hata kwenye mapishi.
Mwenye mdudu huyu anaamini kuwa umaarufur wake utasaidia watu kuwapenda wadudu.
source: http://www.bbc.com/swahili/habari-40567008
Labels: By Xoxher Hero
1 Comments:
Harrah's Reno Casino - Mapyro
Harrah's Reno Casino and Hotel 김천 출장샵 map with 8 photos and 20 광명 출장샵 reviews. 태백 출장안마 구미 출장마사지 It is in Reno, Nevada and 논산 출장샵 Nevada and Harrahs Reno Casino is owned by Caesars Entertainment
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home