Njia tano rahisi za kugundua smartphone bandia/fake
Hizi hapa ndio njia rahisi tano za kutambua simu bandia/fake
Ufungaji (Packing)
Angalia jinsi bidhaa husika ilivyofungwa na pia hakikisha hakuna kitu chochote ambacho hakipo ndiani ya kifungashio.
Angalia waya na plugs ( Look at the wires and plugs)
Ubora wa waya ni ishara muhimu ya bidhaa bandia. Kwa bidhaa halisi plugin cable ni imara na inafiti sawasawa,Katika bidhaa bandia waya zake ni dhaifu na plugs zake huwa azifiti vizuri.
Angalia mwongozo wa mtumiaji (Check the user manual)
Mwongozo wa mtumiaji ni mojawapo ya njia rahisi za kutambua gadget bandia. Kila habari muhimu kuhusu kifaa lazima iwe pale katika lugha ya nchi ya ununuzi au lugha inayo eleweka/kutumika katika nchi ya ununuzi, Ikiwa imeandikwa kwa lugha nyingine na huwezi kuiisoma, basi kuwa makini na bidhaa hiyo.
Angalia fonts (Look at the fonts)
Fonts zote na alama kwenye gadgets lazima ziwe sawa, zenye kuonekana na za kawaida. Ikiwa sivyo, ina maana simu ni bandia au bandia.
Kuwa makini na material yaliyotumika. ( Pay attention to the material)
Material ya kutengeneza simu yanaweza kuwa juu au chini. Cover la plastiki la kufunika simu lazima liwe laini, bila creases yoyote.
first posted on :- http:// vanguardngr.com
Labels: By Xoxher Hero
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home