Friday, 18 May 2018

PES 18

PES 18

https://www.mediafire.com/file/1t96pi1isscfo0l/PES%202018%20by%20isoroms.rar
https://www.mediafire.com/file/1zoxow2tna4i2t0/SAVEPES2018-By-isoroms.zip

Alt

https://www.mediafire.com/file/1t96pi1isscfo0l/PES%202018%20by%20isoroms.rarhttps://www.mediafire.com/file/1zoxow2tna4i2t0/SAVEPES2018-By-isoroms.zip


Alt

https://www.mediafire.com/file/1t96pi1isscfo0l/PES%202018%20by%20isoroms.rar

https://www.mediafire.com/file/1zoxow2tna4i2t0/SAVEPES2018-By-isoroms.zip

Friday, 23 February 2018

Mphilipino kutua Nangwanda kuzichapa.

Francis Cheka apokelewa Kimila na wazee wa jadi/Kimakonde Mtwara Old Boma - Atangaza pambano Lake la kuutetea Mkanda wake wa UBO uzito wa kati na Bondia Bondia Bingwa wa Taifa la Phillipine Tinampay anayetokea kwenye Kambi ya Manny Pacquiao chini ya kocha maarufu Duniani Dante Almarios . Cheka ahaaidi  kumsulubu Mfilipino huyo katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara, pambano hilo linaloandaliwa na kampuni ya Hall of Fame Boxing and Promotions chini ya PROMOTA Jay Msangi amesema pamabano huko linalotarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya watu 10,000 nakuongeza litakuwa ni pambano la aina yake lenye patashika na lenye maandalizi ya Hali ya juu . Wana wa wamtwara kuchelea wategemea burudani safi usiku wa pasaka tarehe 01 mwezi 04 mwaka 2018 pia Suprise Guest wa kimataiafa atatua Mtwara. ​Usiku wa vitasa

Labels:

Monday, 25 September 2017

FATHER OF INTERNET

Tim Berners-Lee

Alizaliwa mwaka wa 1955, Tim Berners-Lee ni mhandisi wa Kiingereza na mwanasayansi wa kompyuta, anayejulikana kama mwanzilishi wa "World wide web" ambayo kwa ufupi inaandikwa 'www'. Wakati mwingine pia hujulikana kama "Baba wa Internet," Berners-Lee aliunda na kujenga kivinjari cha wavuti cha kwanza(first web browser) , mhariri (editor) na seva (server). Teknolojia ambazo zilileta mabadiriko makubwa katika nyanya mbalimbali zihusuzo habari,mitandao na mawasiliano.Teknolojia hizi zotaenderea muda wote.

Chanzo: forbes.com

Labels:

You Jianxia

You Jianxia huyu ndio binadamu pekee mwenye nyusi ndefu zaidi duniani, ananyusi zenye urefu wa sentimita 12.4 ambayo ni sawa na nchi 4.88. Kwa kawaida nyusi za binadamu huwa na urefu wa sentimita 0.8 adi 1.2 .Jina lake lipo katika kitabu kinachotuza majina ya watu waliovunja  rekodi mbalimbali duniani kitabu cha "Guinness book of world records"

Tazama video ya You Jianxia hapa;-
Bonyeza link.

Link :- https://m.youtube.com/watch?v=RS1tUTM6DkY

Labels:

HBO BOXING

HBO (Home Box Office ) ni mtandao wa televisheni wa marekani ambao hutoa matangazo na kuonyesha mapambano mbalimbali ya ndondi kwa mfano;
HBO World Championship Boxing, HBO Boxing After Dark and
HBO Pay-Per-View (zamani TVKO) events.
Licha ya HBO kuwa chombo cha kurusha matangazo mbalimbali mbalimbali ya ndondi pia HBO imasajili mabondia ambao haki za matangazo za mechi zao zitakuwa zinasimamiwa na HBO.
Hii apa ni orodha fupi ya mabondia maarufu duniani ambao wapo chini ya HBO PPV ;-

Saul Alvarez
49-1-2 | 34 KOs

Timothy Bradley
33-2-1 | 13 KOs

Miguel Cotto
40-5 | 33 KOs

Terence Crawford
31-0 | 22 KOs

Nonito Donaire
36-3 | 23 KOs

Gennady Golovkin
37-0-1 | 33 KOs

Amir Khan
31-3 | 19 KOs

James Kirkland
32-2 | 28 KOs

Wladimir Klitschko
64-5 | 53 KOs

Sergey Kovalev
30-2-1 | 26 KOs

Vasyl Lomachenko
8-1-0 | 6 KOs

Juan Manuel Marquez
56-7-1 | 40 KOs

Manny Pacquiao
58-6-2 | 38 KOs

Jean Pascal
30-4-1 | 17 KOs

Brandon Rios
33-3-1 | 24 KOs

Nicholas Walters
26-0-1 | 21 KOs

Andre Ward
32-0 | 16 KOs

Marco Antonio Barrera
67-7 | 44 KOs

Joe Calzaghe
46-0 | 32 KOs

Oscar De La Hoya
39-6 | 30 KOs

Winky Wright
51-6-1 | 25 KOs

Shane Mosley
49-9-1 | 41 KOs

Jim Lampley

Max Kellerman

Harold Lederman

Roy Jones Jr.

Hii hapa chini ni orodha ya watangazaji wa HBO PPV wa sasa na wazamani (wengi wao ni mabondia waliostafu ndondi);-

Emanuel Steward

Barry Tompkins

Fran Charles

George Foreman

Gil Clancy

Harold Lederman

Howard Cosell

Jim Lampley

Larry Merchant

Lennox Lewis

Max Kellerman

Roy Jones Jr.

Sugar Ray Leonard


MARQUINHOS

Marcos Aoás Corrêa anayejulikana kama Marquinhos aliyezaliwa Mei 14, 1994, ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama mlinzi katika klabu ya Ligue 1 Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil. Hasa anacheza kama mlizi wa kati pia anaweza kucheza kama mlinzi wa kulia.

Labels:

Blue Collar nyoka hatari zaidi duniani

Blue collar ( Calliophis bivirgata) ndio nyoka anaesemekana kuwa ni hatari zaidi duniani kutikana kuwa na sumu(venom) kali inayofahamika kitaramu kwa jina la " Calliotoxin " sumu hii kali na ina sodium channel ambayo inauwezo wa kuturn nerves on and off.
Kiufupi sumu ya blue collar inaenda kuathili mfumo wa fahamu "nerves system"

Blue collar anapatikana  Brunei, Indonesia, Malaysia ,
Singapore , Thailand na Burma.

Labels: