Thursday, 14 September 2017

Thai Ngoc hajalala zaidi ya miaka 45

Thai Ngoc pia anajulikana kwa jina la Hai Ngoc alizaliwa mnamo 1942 huko Vietnam.

Tunapoangalia maisha ya awali ya Thai alikuwa mtu wa kawaida kama wewe na mimi. Katika maisha yake ya awali alikuwa na kubeba mifuko miwili ya mbolea ya kilo 50 kwa karibu kilomita 4 katikati ya nyumba na shamba.

Mahali fulani katika mwaka wa 1973 alipata homa ambayo ilimfanya apoteze uwezo wake wa kulala na kugeuka kuwa mtu wa asiokuwa wa kawaida maana baada ya hiyo homa hakuweza kulala tena na hapo ndipo habari zake zikaanza kusambaa duniani kote.

Hadi sasa Thai Ngoc haja lala zaidi ya miaka 45.

Kesi ya Thai imewaangaisha madaktari duniani kote. Madaktari ambao wamechunguza hali hiyo wamehitimisha kuwa hali ni nzuri na haima madhara kabisa.

Hata bila usingizi anaweza kufanya kilimo kama mtu wa kawaida atakavyofanya.

Angalia video zake hapa,

Bonyeza link kutazama;-

Link namba 1,

https://m.youtube.com/watch?v=654DuuCtRaA

Link namba 2,

https://m.youtube.com/watch?v=Yo3sYGr2Bq4

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home