Wilder Vs "King Kong" November 4
Bingwa wa WBC world heavyweight title ,Mmarekani Deontay Wilder "Bronzer bomber" atapanda ulingoni kumkabili bingwa kutoka Cuba , Luis Ortiz "King kong" katika pambano la uzito wa juu la raundi kumi na mbili litakalopigwa tarehe 4 November ,2017 katika ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn, New York, USA
Pambano litakuwa la kugombea ubingwa wa hii mkanda wa WBC World Heavyweight Title ambao Wilder atakuwa anautetea.
NB: Mabondia wote hawajawai kupoteza mchezo wowote (undefeated)
Hash tag; #wilderortiz
Labels: By Xoxher Hero
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home