Loli lenye vitu vya uwizi la ning'inia hewani - Kisii.
Wakazi wa mji wa Kisii walilizunguka loli ambalo magurudumu yake ya mbele yalikuwa yana ning'inia hewani na kuwaacha watu midomo wazi.
Uchawi
Kuna wale ambao wanasema kwamba loli lilikuwa limesimamishwa na uchawi kwa sababu ilikuwa limebeba bidhaa zilizo ibiwa. Pamoja na Kisii inayojulikana kwa matukio ya uchawi nadharia ya kwamba lori lilizuiwa na uchawi inaonekana kuwashawishi watu wengi.
Sayansi
Lakini wale wanaoamini katika sayansi wanasema nguvu ya mvutano gravitational force ndio ilisababisha loli liinuke magurudumu yake ya mbele ili kuweka uwiano sawa wa uzito maana inaonekana lilibeba mzigo mkubwa nyuma (fizikia inaweza kuelezea vizuri).
************
First appeared on; http://www.ghafla.com/ke/witchcraft-drama-kisii-town-lorry-stops-take-selfie-front-wheels-lifted-air-photos/
Labels: By Xoxher Hero
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home