Floyd Money Mayweather Jr amenunua nyumba ya dola milioni 25.
Kulingana na Los Angeles Times, Mayweather hivi karibuni alinunua nyumba yenye ukubwa wa mita za mraba 15,096 katika Beverly Hills kwa Dola milioni 25.5 . Nyumba ilikuwa na bei ya Dola milioni 28.95 , na licha ya kuokoa Dola milioni 3.4 kwa bei ya kuuza, Mayweather alitumia Dola 500,000 zaidi kwa kuweka thamani za ndani (furniture) ya nyumba.
Nyumba inajumuisha ukumbi mkubwa wa sinema , vyumba vya wageni na eneo la burudani la nje lenye bwawa la kuogelea. Kwa ujumla, nyumba ina vyumba sita vya kulala na mabafu tisa.
First appeared on;- https://www.usatoday.com/story/sports/ftw/2017/09/19/floyd-mayweather-purchased-a-new-255-million-mansion-after-the-conor-mcgregor-fight/105783188/?utm_source=feedblitz&utm_medium=FeedBlitzRss&utm_campaign=usatodaycomsports-topstories
Labels: By Xoxher Hero
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home