FATHER OF INTERNET
Tim Berners-Lee
Alizaliwa mwaka wa 1955, Tim Berners-Lee ni mhandisi wa Kiingereza na mwanasayansi wa kompyuta, anayejulikana kama mwanzilishi wa "World wide web" ambayo kwa ufupi inaandikwa 'www'. Wakati mwingine pia hujulikana kama "Baba wa Internet," Berners-Lee aliunda na kujenga kivinjari cha wavuti cha kwanza(first web browser) , mhariri (editor) na seva (server). Teknolojia ambazo zilileta mabadiriko makubwa katika nyanya mbalimbali zihusuzo habari,mitandao na mawasiliano.Teknolojia hizi zotaenderea muda wote.
Chanzo: forbes.com
Labels: By Xoxher Hero
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home