Monday, 25 September 2017

MARQUINHOS

Marcos Aoás Corrêa anayejulikana kama Marquinhos aliyezaliwa Mei 14, 1994, ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama mlinzi katika klabu ya Ligue 1 Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil. Hasa anacheza kama mlizi wa kati pia anaweza kucheza kama mlinzi wa kulia.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home