Mphilipino kutua Nangwanda kuzichapa.
Francis Cheka apokelewa Kimila na wazee wa jadi/Kimakonde Mtwara Old Boma - Atangaza pambano Lake la kuutetea Mkanda wake wa UBO uzito wa kati na Bondia Bondia Bingwa wa Taifa la Phillipine Tinampay anayetokea kwenye Kambi ya Manny Pacquiao chini ya kocha maarufu Duniani Dante Almarios . Cheka ahaaidi kumsulubu Mfilipino huyo katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara, pambano hilo linaloandaliwa na kampuni ya Hall of Fame Boxing and Promotions chini ya PROMOTA Jay Msangi amesema pamabano huko linalotarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya watu 10,000 nakuongeza litakuwa ni pambano la aina yake lenye patashika na lenye maandalizi ya Hali ya juu . Wana wa wamtwara kuchelea wategemea burudani safi usiku wa pasaka tarehe 01 mwezi 04 mwaka 2018 pia Suprise Guest wa kimataiafa atatua Mtwara. Usiku wa vitasa
Labels: By Soshah
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home