Wednesday, 30 August 2017

Floyd Mayweather Sr,Roger Mayweather,Jeff Mayweather & Floyd Mayweather Jr -Mabondia wenye record kutoka familia moja.

Floyd Mayweather Jr amezaliwa kwenye familia ya Mabondia..., Ambao ni:-

Baba yake Floyd Mayweather Sr

Mjomba wake Roger  L. Mayweather

Mjomba wake Jeff  Mayweather

Picha na rekodi zao;-

10 Sports Competitions With Highest Prize Money In 2016

Michezo iliyoingiza mmpunga mwingi mwaka 2016.

Labels:

Monday, 28 August 2017

Conor McGregor Kafanya party kubwa baada ya kubondwa na Mayweather Jr

Conor McGregor alifanya party kubwa baada ya kichapo kikali kutoka kwa Floyd Money Mayweather. Pia Conor McGregor alisema kuwa refa alichukua maamuzi ya haraka kumaliza pambano yeye anadai kuwa alikuwa na uwezo wa kuenderea kupambana na Floyd Money Mayweather.

Picha za party :-

Labels:

Sunday, 27 August 2017

McGregor alimpiga Mayweather Jr ngumi nyingi kuliko ngumi alizopigwa Mayweather na Pacquiao

Conor McGregor alimpiga bondia anae sifika kwa uwezo mkubwa kujilinda zaidi duniani Mayweather Jr jumla ya ngumi  117. Idadi hii ya ngumi ni ngumi 30 zaidi ya ngumi alizopigwa Mayweather Jr na Mphilipino Manny Pacquiao katika pambano lao na pia idadi hii ya ngumi ni ngumi 6 pungufu ya ngumi alizopigwa Mayweather Jr na Mmexico anae tarajiwa kupanda ulingoni mwezi ujao wa tisa kumkabiri "GGG" Saul Alvarez "Canelo"  katika pambano la 2015.

Labels:

Saturday, 26 August 2017

Madaktari watakao husika kwenye money fight leo "Floyd Vs Conor"

Hawa ndio madaktari watakao kuwepo kwenya money fight leo kati ya  "Floyd Mayweather Jr Vs Conor McGregor"

First Doctor,

Dr. Anthony Ruggeroli,

Huyu ni daktari alie bobea kwenye mambo yote yanayo husu maumivu "Pain Specialist"


Second Doctor,

Dr. Albert Capanna,

Huyu ni daktari alie bobea kwenye mambo yote yanayo husu mfumo wa fahamu na neva "Neurosurgery Specialist"



Third Doctor,

Dr. Jay Coates

Huyu ni daktari alie bobea kwenye mambo yote yanayo husu upasuaji "Surgery Specialist"

"Haya ndio maisha ya professional boxing, wazungu hawana mambo ya ubabaishaji"

Follow me on Instagram
IG:@xoxher_singeli

Labels:

Mifumo atakayotumia Morinho kuwafit Lukaku na Kadabra kikosi cha kwanza.

Mifumo atakayotumia Morinho kuwafit Lukaku na Kadabra kikosi cha kwanza hii apa:-

Plan A

3-5-2 formation.

Plan B

4-3-1-2 formation.

Plan C

4-4-2 formation.

Labels:

R.I.P. Sonny Landham (1941 – 2017)


Actor Sonny Landham, best known for his role as Native American tracker Billy Sole in 1987’s action classic Predator, has passed away from congestive heart failure, aged 76.

Landham began his career working in X-rated movies in the 1970s, before making his mainstream film debut in Walter Hill’s The Warriors in 1979.

In addition to Predator, Landham’s big screen credits includes roles in the likes of Southern Comfort, 48 Hrs., Action Jackson, Lock Up and Best of the Best 2, as well as guest appearances in the TV shows The A-Team, The Fall Guy and Miami Vice.

Labels:

Friday, 25 August 2017

Angalia muonekano wa Mkanda wa mechi ya Floyd vs Conor

Huu ndio muonekano wa mkanda maarumu wa mechi kati ya Mayweather vs McGregor , mkanda huu unaitwa "WBC MONEY BELT"

Labels:

T-Mobile Arena ukumbi utakaotumika kwenye pambano la Mayweather vs McGregor

T-Mobile Arena,  ndio ukumbi utakaotumika kwenye mechi kati ya Mayweather vs McGregor..

T-Mobile Arena, unapatikana katika jimbo la Las Vegas, Nevada, USA

Labels: