Monday, 25 September 2017

FATHER OF INTERNET

Tim Berners-Lee

Alizaliwa mwaka wa 1955, Tim Berners-Lee ni mhandisi wa Kiingereza na mwanasayansi wa kompyuta, anayejulikana kama mwanzilishi wa "World wide web" ambayo kwa ufupi inaandikwa 'www'. Wakati mwingine pia hujulikana kama "Baba wa Internet," Berners-Lee aliunda na kujenga kivinjari cha wavuti cha kwanza(first web browser) , mhariri (editor) na seva (server). Teknolojia ambazo zilileta mabadiriko makubwa katika nyanya mbalimbali zihusuzo habari,mitandao na mawasiliano.Teknolojia hizi zotaenderea muda wote.

Chanzo: forbes.com

Labels:

You Jianxia

You Jianxia huyu ndio binadamu pekee mwenye nyusi ndefu zaidi duniani, ananyusi zenye urefu wa sentimita 12.4 ambayo ni sawa na nchi 4.88. Kwa kawaida nyusi za binadamu huwa na urefu wa sentimita 0.8 adi 1.2 .Jina lake lipo katika kitabu kinachotuza majina ya watu waliovunja  rekodi mbalimbali duniani kitabu cha "Guinness book of world records"

Tazama video ya You Jianxia hapa;-
Bonyeza link.

Link :- https://m.youtube.com/watch?v=RS1tUTM6DkY

Labels:

HBO BOXING

HBO (Home Box Office ) ni mtandao wa televisheni wa marekani ambao hutoa matangazo na kuonyesha mapambano mbalimbali ya ndondi kwa mfano;
HBO World Championship Boxing, HBO Boxing After Dark and
HBO Pay-Per-View (zamani TVKO) events.
Licha ya HBO kuwa chombo cha kurusha matangazo mbalimbali mbalimbali ya ndondi pia HBO imasajili mabondia ambao haki za matangazo za mechi zao zitakuwa zinasimamiwa na HBO.
Hii apa ni orodha fupi ya mabondia maarufu duniani ambao wapo chini ya HBO PPV ;-

Saul Alvarez
49-1-2 | 34 KOs

Timothy Bradley
33-2-1 | 13 KOs

Miguel Cotto
40-5 | 33 KOs

Terence Crawford
31-0 | 22 KOs

Nonito Donaire
36-3 | 23 KOs

Gennady Golovkin
37-0-1 | 33 KOs

Amir Khan
31-3 | 19 KOs

James Kirkland
32-2 | 28 KOs

Wladimir Klitschko
64-5 | 53 KOs

Sergey Kovalev
30-2-1 | 26 KOs

Vasyl Lomachenko
8-1-0 | 6 KOs

Juan Manuel Marquez
56-7-1 | 40 KOs

Manny Pacquiao
58-6-2 | 38 KOs

Jean Pascal
30-4-1 | 17 KOs

Brandon Rios
33-3-1 | 24 KOs

Nicholas Walters
26-0-1 | 21 KOs

Andre Ward
32-0 | 16 KOs

Marco Antonio Barrera
67-7 | 44 KOs

Joe Calzaghe
46-0 | 32 KOs

Oscar De La Hoya
39-6 | 30 KOs

Winky Wright
51-6-1 | 25 KOs

Shane Mosley
49-9-1 | 41 KOs

Jim Lampley

Max Kellerman

Harold Lederman

Roy Jones Jr.

Hii hapa chini ni orodha ya watangazaji wa HBO PPV wa sasa na wazamani (wengi wao ni mabondia waliostafu ndondi);-

Emanuel Steward

Barry Tompkins

Fran Charles

George Foreman

Gil Clancy

Harold Lederman

Howard Cosell

Jim Lampley

Larry Merchant

Lennox Lewis

Max Kellerman

Roy Jones Jr.

Sugar Ray Leonard


MARQUINHOS

Marcos Aoás Corrêa anayejulikana kama Marquinhos aliyezaliwa Mei 14, 1994, ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama mlinzi katika klabu ya Ligue 1 Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil. Hasa anacheza kama mlizi wa kati pia anaweza kucheza kama mlinzi wa kulia.

Labels:

Blue Collar nyoka hatari zaidi duniani

Blue collar ( Calliophis bivirgata) ndio nyoka anaesemekana kuwa ni hatari zaidi duniani kutikana kuwa na sumu(venom) kali inayofahamika kitaramu kwa jina la " Calliotoxin " sumu hii kali na ina sodium channel ambayo inauwezo wa kuturn nerves on and off.
Kiufupi sumu ya blue collar inaenda kuathili mfumo wa fahamu "nerves system"

Blue collar anapatikana  Brunei, Indonesia, Malaysia ,
Singapore , Thailand na Burma.

Labels:

Wednesday, 20 September 2017

Floyd Money Mayweather Jr amenunua nyumba ya dola milioni 25.


Kulingana na Los Angeles Times, Mayweather hivi karibuni alinunua nyumba yenye ukubwa wa mita za  mraba 15,096 katika Beverly Hills kwa Dola milioni 25.5 . Nyumba ilikuwa na bei ya Dola milioni 28.95 , na licha ya kuokoa Dola milioni 3.4 kwa bei ya kuuza, Mayweather alitumia Dola 500,000 zaidi kwa kuweka thamani za ndani (furniture) ya nyumba.
Nyumba inajumuisha ukumbi mkubwa wa sinema , vyumba vya wageni na eneo la burudani la nje lenye bwawa la kuogelea. Kwa ujumla, nyumba ina vyumba sita vya kulala na mabafu tisa.

First appeared on;- https://www.usatoday.com/story/sports/ftw/2017/09/19/floyd-mayweather-purchased-a-new-255-million-mansion-after-the-conor-mcgregor-fight/105783188/?utm_source=feedblitz&utm_medium=FeedBlitzRss&utm_campaign=usatodaycomsports-topstories

Labels:

Sunday, 17 September 2017

Njiwa ashikwa na mfuko 'uliojaa madawa ya kulevya'


Maafisa wa forodha nchini Kuwait wamemkamata njiwa aliyekuwa amebeba madawa ya kulevya katika mkoba mdogo mgongoni, gazeti la Kuwait, la al-Rai limeripoti.

Jumla ya tembe 178 ziliipatikana katika mfukop huo uliokuwa umepachikwa mgongoni mwake, gazeti hilo lilisema.

Ndege huyo alinaswa karibu na jumba la forodha jijini Abdali, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Iraq.

Mwanahabari wa Al-Rai alisema kuwa madawa hayo ya kulevya yalikuwa aina ya ketamine, nusukaputi ambayo pia hutumiwa kama dawa haramu katika sherehe.

First appeared on bbc.com

Labels:

Thursday, 14 September 2017

Thai Ngoc hajalala zaidi ya miaka 45

Thai Ngoc pia anajulikana kwa jina la Hai Ngoc alizaliwa mnamo 1942 huko Vietnam.

Tunapoangalia maisha ya awali ya Thai alikuwa mtu wa kawaida kama wewe na mimi. Katika maisha yake ya awali alikuwa na kubeba mifuko miwili ya mbolea ya kilo 50 kwa karibu kilomita 4 katikati ya nyumba na shamba.

Mahali fulani katika mwaka wa 1973 alipata homa ambayo ilimfanya apoteze uwezo wake wa kulala na kugeuka kuwa mtu wa asiokuwa wa kawaida maana baada ya hiyo homa hakuweza kulala tena na hapo ndipo habari zake zikaanza kusambaa duniani kote.

Hadi sasa Thai Ngoc haja lala zaidi ya miaka 45.

Kesi ya Thai imewaangaisha madaktari duniani kote. Madaktari ambao wamechunguza hali hiyo wamehitimisha kuwa hali ni nzuri na haima madhara kabisa.

Hata bila usingizi anaweza kufanya kilimo kama mtu wa kawaida atakavyofanya.

Angalia video zake hapa,

Bonyeza link kutazama;-

Link namba 1,

https://m.youtube.com/watch?v=654DuuCtRaA

Link namba 2,

https://m.youtube.com/watch?v=Yo3sYGr2Bq4

Labels:

Wednesday, 13 September 2017

Wilder Vs "King Kong" November 4

Bingwa wa WBC world heavyweight title ,Mmarekani  Deontay Wilder "Bronzer bomber" atapanda ulingoni kumkabili bingwa kutoka Cuba ,  Luis Ortiz "King kong" katika pambano la uzito wa juu la raundi kumi na mbili litakalopigwa tarehe 4 November ,2017 katika ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn, New York, USA

Pambano litakuwa la kugombea ubingwa wa hii mkanda wa WBC World Heavyweight Title ambao Wilder atakuwa anautetea.

NB: Mabondia wote hawajawai kupoteza mchezo wowote (undefeated)

Hash tag; #wilderortiz

Labels:

Monday, 11 September 2017

Loli lenye vitu vya uwizi la ning'inia hewani - Kisii.

Wakazi wa mji wa Kisii walilizunguka loli ambalo magurudumu yake ya mbele yalikuwa yana ning'inia hewani na kuwaacha watu midomo wazi.

Uchawi
Kuna wale ambao wanasema kwamba loli lilikuwa limesimamishwa na uchawi kwa sababu ilikuwa limebeba bidhaa zilizo ibiwa. Pamoja na Kisii inayojulikana kwa matukio ya uchawi  nadharia ya kwamba lori lilizuiwa na uchawi inaonekana kuwashawishi watu wengi.

Sayansi
Lakini wale wanaoamini katika sayansi wanasema nguvu ya mvutano gravitational force ndio ilisababisha loli liinuke magurudumu yake ya mbele ili kuweka uwiano sawa wa uzito maana inaonekana lilibeba mzigo mkubwa nyuma (fizikia inaweza kuelezea vizuri).

************

First appeared on; http://www.ghafla.com/ke/witchcraft-drama-kisii-town-lorry-stops-take-selfie-front-wheels-lifted-air-photos/

Labels: